Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Suluhisho Haliko nchini Togo au Mahali Pengine Popote, Bali liko katika Kushikamana Amri ya Mwenyezi Mungu ya Kusimamisha Khilafah

Leo, Jumapili, 22/7/2023, huko Lome, mji mkuu wa Togo, kongamano linaoitwa la mashauriano la viongozi wa kisiasa na wawakilishi wa mashirika ya umma kutoka jimbo la Darfur ulizinduliwa. Ilisemekana kwamba lilikuwa ni kwa ajili ya kuweka makubaliano yenye kupelekea msimamo wa umoja kuhusiana na kuzuia athari za vita juu ya mshikamano wa jamii huko Darfur.

Soma zaidi...

Amerika Inarefusha Mzozo nchini Sudan ili Kuwalazimisha Raia Kukubali Utawala wa Kijeshi

Marekani ilizindua kile ilichokiita jukwaa la Kuchunguza Mzozo wa Sudan. Mnamo tarehe 9 Juni 2023, afisi ya msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitoa taarifa kuhusu suala hili, “Jukwaa la Kuchunguza Mzozo wa Sudan linathibitisha dhamira ya Marekani ya uwazi tunapofanya kazi na washirika ili kukomesha mzozo wa kijeshi nchini Sudan

Soma zaidi...

Kwa Kuregea kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, Tutamaliza Vita, Sio kupitia Mazungumzo Yanayofadhiliwa na Marekani, Adui wa Uislamu na Waislamu!

Baada ya wiki tatu za mauaji na uharibifu, Marekani inaamuru watu wake wafanye mazungumzo jijini Jeddah baada ya mamia kuuawa, maelfu kujeruhiwa, miundombinu kuharibiwa, maisha kuvurugika, watu kuhamishwa kutoka kwa makazi yao, kutangatanga, kuzingirwa na kifo, njaa na magonjwa. 

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Vipindi katika Televisheni ya Taifa (Omdurman)

Katika muendelezo wa mikutano ya wajumbe wa Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan na viongozi wa serikali, na ndani ya wigo wa kampeni ya hizb ya kupambana na mihadarati, ujumbe kutoka hizb, ukiongozwa na Ustadh Muhammad Jami (Abu Ayman)- Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Udhibiti wa Mihadarati na Wasaidizi wake

Leo Jumapili tarehe 19/02/2023 ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan ukiongozwa na Ustadh Nasir Ridha Muhammad Othman - Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan, ukiandamana na Wakili Ahmad Abkar - Mjumbe wa Kamati ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu