Dola za Sykes-Picot Zimetuletea Udhalilifu Ulioje?!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo siku ya Jumatatu, serikali ya Sudan ilituhumu Vuguvugu la Ukombozi wa Raia wa Sudan (SPLM-N) - mrengo wa Abdelaziz al-Hilu, kwa kusababisha kuporomoka kwa mazungumzo ya kuwezesha misaada ya kibinadamu kwa wale walioathirika katika majimbo ya Kordofan Kusini na Blue Nile.