Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi

Kwa imani na kujisalimisha kwa qadhaa ya Mwenyezi Mungu (swt), Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Jordan inaomboleza kwa Waislamu kwa jumla, na watu wa Jordan haswa, na kwa Amir wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, mmoja wa mashababu wake wanyofu, wavumilivu, na mashuhuri, na mwenye misimamo thabiti inayomridhisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake (saw), na wala hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu:

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Wanaharakati wa Kike (Shaabat) wa Hizb ut Tahrir “Wanawake wa al-Sham Wanalia kwa Sauti Kuu, Yuko Wapi Mu’tasim! Je, Kuna Yeyote wa Kuitikia Kilio Chao?"

Wanaharakati wa kike (Shaabat) wa Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria waliandaa maandamano katika mji wa Idlib kupinga kauli za khiyana za hivi karibuni za serikali ya Uturuki zinazotaka kuwepo na mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, yenye kichwa “Wanawake wa al-Sham Wanalia kwa Sauti Kuu, Yuko Wapi Mu’tasim! Je, Kuna Yeyote wa Kuitikia Kilio Chao?"

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Idlib “Jikomboeni kwa Nguvu Kutokana na Utegemezi na Chukueni kwa Nguvu Mradi wa Khilafah... Mwenyezi Mungu Atakunusuruni”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Idlib yaliyo anza katika msikiti wa Al-Hussein baada ya swala ya Ijumaa na yakanyanyua kauli mbiu “Jikomboeni kwa Nguvu Kutokana na Utegemezi na Chukueni kwa Nguvu Mradi wa Khilafah...

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Killi “Hakuna Maridhiano wala Hakuna Suluhisho la Kisiasa na Serikali ya Mhalifu.”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Killi kupinga kauli za khiyana za hivi karibuni za serikali ya Uturuki zinazotaka kuwepo na mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, yenye kichwa “Hakuna Maridhiano wala Hakuna Suluhisho la Kisiasa na Serikali ya Mhalifu”.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu