Hizb ut Tahrir/ Uingereza: Gaza Inaita! Lini Nusra Itakuja?
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/ Uingereza: Gaza Inaita! Lini Nusra Itakuja?
Hizb ut Tahrir/ Uingereza: Gaza Inaita! Lini Nusra Itakuja?
Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, uzingiraji wake na upigaji mabomu wake unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza
Kampeni ya Kiulimwengu na Siku ya Wanawake Kuchukua Hatua Kuyaamsha Majeshi ya Waislamu na Wito kwao Kuwaokoa Wanawake wa Gaza na Watoto wake na Ukombozi Kamili wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Hizb ut Tahrir / Amerika iliwasilisha amali hii ya mtandaoni. Amali hii inachunguza kwa kina mazingira tata ya kijiografia ya hali ya Gaza na katika kanda yote. Wageni wetu ni wataalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati na ya Kiislamu.
Ukumbusho kwamba suluhisho la Gaza ni suluhisho la kijeshi linalohitaji kwamba majeshi yachukue hatua ya kuangusha tawala, kutabikisha Uislamu, na kuhamasisha majeshi kuelekea Palestina.
Mnamo Jumamosi, 11/11/2023, takriban watawala sitini wa Kiarabu na wasiokuwa wa Kiarabu wa nchi za Waislamu walikutana jijini Riyadh kujadili uvamizi wa Mayahudi dhidi ya Gaza, yaani zaidi ya mwezi mmoja baada ya uvamizi wa Mayahudi kuanza, na baada ya mashahidi zaidi ya elfu kumi na moja na Karibu elfu thelathini kujeruhiwa.
Kalima ya Ustadh Youssef Ahmed, mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Uswidi, ya kuwanusuru na kuwaombea nusra Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na wito kwa majeshi ya Waislamu kuvunja vizuizi ambavyo watawala wa Ruwaibidha wamewawekea katika kambi zao
Hizb ut Tahrir / Uingereza imetuma wajumbe kwenye afisi ya ubalozi za nchi kadhaa za Kiislamu jijini London wasilimisha mpango unaojumuisha nukta 10 za kufanyiwa kazi kuhusiana na mauaji ya halaiki ambayo yanafichuka huko Gaza.
Kalima kuhusu mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 35,000, wanaume na wanawake hadi sasa, iliyoandaliwa na kuwasilishwa na Ustadh Dawoud Carlson, mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Uswidi
Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya halaiki na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile uaji halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa.