Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 395
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa kisimamo katika nyua za Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kwa ajili ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na kuyahamasisha majeshi ya Waislamu kuwang’oa watawala wasaliti na kusimamisha dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume,
Ili Kutazama Sehemu za Miezi Iliyopita Bonyeza Hapa
Mnamo 1540 M, mtawala wa Kiislamu, Sher Shah Suri, alichapisha Rupiya ya fedha, yenye uzani wa 178 Troy grains, ambao ni gramu 11.5.
Dola ya Kibaniani imeishambulia wazi wazi heshima ya Mtume ﷺ, huku ikiyasaidia makundi yake yenye silaha kuvunja misikiti na kuwachinja Waislamu.
Sheria mpya imepitishwa nchini Uswidi kuhusu "mateso yaliyosimama juu ya heshima," maelezo haya ya picha yanabainisha maana haswa ya "mateso yaliyosimama juu ya heshima".
Uchumi wa Pakistan unadorora kutokana na biashara ya kimataifa kuegemezwa juu ya na dolari, deni lenye riba na uagizaji ghali wa mafuta na mashini kutoka nje ya nchi.