Alhamisi, 19 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah 1444 H - 2023 M

Katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu, Khilafah, mnamo tarehe 28 Rajab 1342 Hijria.

Ijumaa, 12 Rajab 1444 H - 03 Februari 2023 M

Bonyeza Hapa kwa ajili ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Mkutano na Waandishi wa Habari katika Shirika la Habari la Sudan (SUNA) Kuzindua Kampeni ya Kupambana na Mihadarati!

Jumapili, 29 Jumada Al-Akhir 1444 H - 22 Januari 2023 M

Ripoti ya Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah - Wiki ya 1

Jumamosi, 13 Rajab Tukufu 1444 H - 04 Februari 2023 M

Ndani ya wigo wa kampeni iliyozinduliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan, chini ya kauli mbiu isemayo "Dawa za kulevya ni vita.. Kwa Khilafah tutashinda" yenye lengo la kuelimisha Ummah kuhusu hatari ya dawa za kulevya, kufichua ukubwa wa njama hii ambayo inalenga akili za vijana, na kupendekeza suluhisho msingi, na kukumbuka kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa Khilafah ya Kiuthmani mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, na kama muendelezo wa amali za umma zilizoandaliwa na hizb, kuhamasisha Umma wa Kiislamu na kunoa azma yake ya kusimamisha tena dola ya Khilafah Rashida, kwa kuunda rai jumla inayofahamu hukmu za Uislamu na utatuzi wake, hizb ilifanya amali nyingi za hadharani katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Ripoti ya Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah - Wiki ya 2

Alhamisi, 25 Rajab Tukufu 1444 H - 16 Februari 2023 M

Ili Kupakua Ripoti Nakala ya (PDF) Bonyeza Hapa

Ripoti ya Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah - Wiki ya 3

Jumanne, 08 Sha’aban 1444 H - 28 Februari 2023 M

Muendelezo wa kampeni iliyozinduliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan, chini ya kauli mbiu isemayo “Mihadarati ni vita.. Kwa Khilafah tutashinda” kwa lengo la kuelimisha Ummah kuhusu hatari ya dawa za kulevya, na kupendekeza suluhisho msingi na kukumbuka kumbukumbu chungu ya ya wahalifu kuiondoa Khilafah ya Kiuthmani mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H. Amali zilizinduliwa katika maeneo mbalimbali nchini kwa ajili ya kunoa fikra kuelekea kusimamishwa tena kwa Dola ya Khilafah Rashida.

Amali moja ilikuwa ni hotuba ya halaiki iliyofanywa katika mkoa wa Madani na Wanachama wa Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan yenye kichwa, “Khilafah Pekee ndiyo Inailinda Jamii kutokana na Hatari za Mihadarati” iliyotolewa na Ustadh Abdul Aziz. Amali hizo zilihitimishwa kwa kuwaalika watu kufanya kazi na Hizb ut Tahrir ili kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Kwa Maelezo Zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Youtube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Ukarasa wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir katika Vyuo Vikuu vya Sudan

Bonyeza Hapa Kufuatilia Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah 1444 H – 2023 M

Fuatilia na Usambaze Alama Ishara za Kampeni:

#Time4Khilafah

#EstablishKhilafah

#ReturnTheKhilafah

#TurudisheniKhilafah

#KhilafahBringsRealChange

#بالخلافة_يحصل_التغيير_الحقيقي

أقيموا_الخلافة#

كيف_تقام_الخلافة#

#YenidenHilafet

 #HakikiDeğişimHilafetle

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu