Kitu Kile Walichojengwa Nacho Wapalestina
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tokea mwanzoni mwa mashambulizi ya vita, hofu kwa watu wa Gaza ilitukumba kwa sababu tunaelewa umbile la Kiyahudi halina kikomo ima linapokuja suala kama la sheria za kimataifa au rai jumla ya watu kutumia mabomu ya kemikali yaliopigwa marufuku, kuvuka mistari yote mekundu.