Kumbuka kuwa Kifo ni Hakika na Sababu yake ni Ajal na si Chengine!
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kifo na mwisho wa maisha haya imekuwa ni kitu kisicho cha maumbile na kiko mbali.
Kifo na mwisho wa maisha haya imekuwa ni kitu kisicho cha maumbile na kiko mbali.
Funzo moja muhimu ambalo virusi vya Korona vimeifunza dunia, ni kuwa mmoja ya mkaazi wake mdogo kabisa ameweza kuvuruga maisha kama tunavyo yafahamu.
Kama tutaichunguza historia ya maambukizi kwa upande wa muda na mahala, tungeweza kuona kuwa mataifa hayakuwa huru kutokana na udharura na kuenea, kama tauni, ikiwemo tauni nyeusi na homa ya mafua ya aina zote...
Mara nyingi huweza kuwa ni vigumu kuona hasara, misiba, na mabalaa ikiwemo maambukizi ya sasa, kwa namna yoyote isiyokuwa ile isiopendeza.
Maafisa wa afya wameshughulishwa na matokeo ya kutowiana juu ya Waamerika weusi.
Mateso katika aina ya mojawapo ya viumbe vidogo kabisa vya Mwenyezi Mungu (swt), kirusi, kimefichua batili ya Urasilimali na itikadi ya kisekula ambayo kwayo umejengwa juu yake, utenganishaji wa dini na maisha.
Tangazo la Beijing na Uingizaji wa Siasa Katika Masuala ya Wanawake
Katika Makala yangu yaliyopita, niliandika kuwa, "nidhamu yote ya kimataifa imetambua kufeli kwake katika kupigana na kiumbe kidogo zaidi ardhini na kumuacha mwanadamu kukabili kifo chake huku akiwa katika hali ya vishindo.
Kila siku ikipita, inakuwa wazi kwamba mgogoro wa virusi vya Korona kihakika unawakilisha mgogoro wa kiulimwengu, urasilimali wa sekula. Mgogoro wa virusi vya Korona, kama ilivyo migogoro mengine, umefichua mtazamo wa dunia na mfumo wa urasilimali.
Amerika inakabiliwa na janga na imeipiku Ujerumani na Ufaransa ndani ya siku mbili zilizopita kwa kesi za Covid-19, na licha ya Italia kuwa na idadi maradufu ya kesi kama Amerika, mjumuiko wa idadi ya kesi inazidi mara mbili ndani ya kila siku 4 nchini Italia, ilhali inazidi mara mbili ndani ya kila siku nchini Amerika.