Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Kwa Khilafah, Majeshi yatasonga kuikomboa Palestina!”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya swala ya Ijumaa, matembezi ya hamsini na tatu yalifanyika katika mji mkuu, Tunis, mbele ya Msikiti wa Al-Fatah, matembezi makubwa yaliyoitishwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Tunisia, kwa watu wa Al-Khadra, na yenye kichwa “Kwa Khilafah, Majeshi yatasonga kuikomboa Palestina.”