Wanachama wa Hizb ut Tahrir huko Abbasiya Taqli Watoa Wito…
Jumamosi, 7 Rabi' I 1447 - 30 Agosti 2025
Kama sehemu ya kampeni iliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan ya kukwamisha mpango wa kuisambaratisha Sudan kwa kutenganisha eneo la Darfur, na kuzingatia umoja wa Ummah kama suala nyeti, suala la uhai na kifo, wanachama wa Hizb ut Tahrir huko Abbasiya walifanya mkutano mnamo Ijumaa, 6 Rabi' al-Awwal 1447 H sawia na 29 Agosti 2025 M, baada ya swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Sheikh Yahya kituo cha kuhifadhi Quran. Walitoa wito wa dhati kwa Waislamu wa matabaka yote, wakiwemo wanasiasa, wanahabari, wanazuoni, maafisa na askari na wengineo, wakiwahimiza kutimiza wajibu wao wa kidini ili kuzuia kujitenga kwa Darfur.
Kinachoitwa “Tamasha za Hisia” (Zambo) jijini Tripoli ni Jaribio la…
Kwa ukaidi wa wazi wa hisia za Umma na maumivu yake, na kwa ukaidi wa…
Msamaha Mbele ya Mola Wetu, na Pole kwa Waliojeruhiwa Gaza…
Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon imetoa wito kwa Mashababu (wanachama) wake kushiriki katika kikao…
Jarida la UQAB Toleo 104 - Septemba 2025
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili…
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha…
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua kampeni ya…
Siku ya Katiba: Miaka Sitini ya Kufeli kwa Katiba ya…
Tarehe 27 Agosti 2025, ni kumbukumbu ya miaka kumi na tano ya kutangazwa kwa Sheria…