Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kinazindua Kampeni ya Kimataifa: "Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake"

Kufuatia kuanguka kwa Khilafah, maisha ya wanawake wa Kiislamu kote duniani yalijawa na aina zote za unyanyasaji na dhulma, mateso na ufukara chini ya mifumo na tawala zilizotungwa na mwanadamu ambazo zilivunja heshima zao, zimeshindwa kuwapatia usalama wa kimwili na kifedha, na hazikujali chochote katika haki zao za Kisheria walizopewa na Mwenyezi Mungu (swt). Kuna njia ya kutoka katika jinamizi hili hai ambalo mamilioni ya wanawake wa Kiislamu wanakabiliana nalo kote duniani, nayo ni kusimamishwa tena kwa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume ambayo Mtume (saw) aliitaja kuwa ni mchungaji na ngao ya Waislamu. Hata hivyo, leo kuna hofu nyingi, mashaka na maswali kuhusu dola kama hiyo inamaanisha nini kwa wanawake na hali na haki zao. Hofu na mashaka hayo yanatokana na uwongo wa karne nyingi, upotoshaji na mashambulizi ya serikali za kikoloni za Magharibi, waandishi, vyombo vya habari na watetezi wa haki za wanawake kuhusiana na muamala wa  wanawake chini ya utawala wa Kiislamu unaoendelea kuenezwa hadi leo.

Kwa hivyo Rajab hii, Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, kimeanzisha kampeni ya kimataifa ya kushughulikia hofu, mashaka, na maswali haya kuhusu hali ya wanawake chini ya utawala wa Kiislamu. Kampeni hii inalenga kuwasilisha uelewa wa wazi na dira ya jinsi maisha yatakavyokuwa kihakika kwa wanawake chini ya kivuli cha dola ya Khilafah kuhusiana na haki zao, dori na miamala yao kama inavyothibitishwa na kuonyeshwa na utawala wa Kiislamu zama za nyuma, mbali na uwongo na upotoshaji wa wasomi wa mashariki na wakoloni.

Dkt. Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Jumatano, 01 Rajab 1443 H sawia na 02 Februari 2022 M

Uzinduzi wa Kampeni - Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake

Hii ni video ya uzinduzi wa kampeni ya kimataifa iliyoandaliwa mwezi huu wa Rajab 1443 H na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili kushughulikia hofu, mashaka, na maswali kuhusu hali ya wanawake chini ya utawala wa Kiislamu. Kampeni hii inalenga kuwasilisha ufahamu wa wazi na dira ya jinsi maisha halisi yatakavyokuwa kwa wanawake chini ya kivuli cha dola ya Khilafah kwa njia ya Utume kuhusiana na haki zao, dori na muamala kama inavyothibitishwa na nususi za Kiislamu, na kudhihirishwa na utawala wa Kiislamu zama za nyuma, mbali na uwongo na upotoshaji wa wasomi wa mashariki na wakoloni.

Video Fupi: Khilafah Itamaanisha Nini kwa Wanawake?

(Sehemu ya Kwanza)

- Video Fupi: Khilafah Itamaanisha Nini kwa Wanawake?

(Sehemu ya Pili)

- Ili Kufuatilia kwa Lugha Nyenginezo -

Ar

En

Tr

Ur

Gr

Kalima ya Dkt Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya 101 ya Kuvunjwa Khilafah

Jumatano, 01 Rajab 1443 H sawia na 02 Februari 2022 M

DVD ya Angazo la Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ya Kumbukumbu ya Miaka 101 Hijri ya Kuvunjwa kwa Khilafah 1443 H - 2022 M
Kupakua DVD: BONYEZA HAPA

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة Af Facebook Afg Twetter Afg Inst
#الخلافة_101 Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

#ReturnTheKhilafah

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

YenidenHilafet#

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

TurudisheniKhilafah#

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

#خلافت_كو_قائم_كرو

 Af Facebook  Afg Twetter  Afg Inst

Kufichua Hekaya za Uongo: Wanawake wana Hadhi ya Daraja la Pili chini ya Khilafah

Hii ni video ya kwanza katika silsila ya video zenye kufichua hekaya na uongo kuhusu unyanyasaji, dhulma na unyimaji wanawake haki chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Ni sehemu ya kampeni iliyozinduliwa mwezi huu wa Rajab kwa kichwa "Khilafah Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake" iliyoandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.

Kufichua Hekaya za Uongo: Wanawake ni Watumwa wa Wanaume Chini ya Khilafah

Hii ni video ya pili ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Kufichua Hekaya za Uongo: Khilafah ni Dola ya Jinsia ya Kiume Pekee

Hii ni video ya tatu ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Kufichua Hekaya za Uongo: Wanawake Watakabiliwa na Unyanyasaji Chini ya Dola ya Khilafah

Hii ni video ya nne ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Kufichua Hekaya za Uongo: Sheria za Kijamii za Kiislamu Huunda Dola iliyopitwa na Wakati

Hii ni video ya tano ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Kufichua Hekaya za Uongo: Wanawake Hawatakuwa na Sauti ya Kisiasa Chini ya Dola ya Khilafah!

Hii ni video ya sita ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Kufichua Hekaya za Uongo: Wasichana Watanyimwa Elimu Chini ya Dola ya Khilafah!

Hii ni video ya saba ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Kufichua Hekaya za Uongo: Wanawake Hawatakuwa na Uwepo katika Vyombo vya Habari Chini ya Dola ya Khilafah!

Hii ni video ya nane ya silsila za video zinazofichua hekaya na uongo kuhusiana na unyanyasaji, ukandamizaji na kunyimwa haki kwa wanawake chini ya utawala wa Kiislamu wa dola ya Khilafah.

Ili Kusoma Taarifa ya Kitengo cha Wanawake

Ambayo ndani ya ulitangazwa uzinduzi wa kampeni yake ya kimataifa

Katika Kumbukumbu ya 101 ya kuvunjwa Khilafah

Kwa Kichwa:

"Khilafah… Dhamana ya Utukufu wa Mwanamke, Usalama Wake na Haki zake za Kisheria"

Jumatano, 01 Rajab 1443 H sawia na 02 Februari 2022 M

Bonyeza Hapa

Click to enlarge image 1.jpg

Click to open image!

 

- Taarifa kwa Vyombo vya Habari -

Hizb ut Tahrir / Malaysia Yazindua Kampeni
"Uislamu Kaffah Chini ya Khilafah"

01 Rajab 1443 H - 02 Februari 2022 M

Warohingya Wakimbia Moto hadi Motoni; Ni Dola ya Khilafah pekee Ndio Itakayowaokoa na Kuwaregeshea Haki zao

28 Jumada II 1443 H - 31 Januari 2022 M

 Tunawakabidhi kwa Mwenyezi Mungu, Enyi Wana wa Syria

22 Jumada II 1443 H - 25 Januari 2022 M

 Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

 Wanawake Wanadhalilishwa na Kuteswa ndani ya Magereza ya Kiyahudi… Je, Yupo Mu’tasim katika Ummah Huu?!

28 Jumada al-Awwal 1443 H - 01 Januari 2022 M

 

- Makala -

Dori ya Wanawake Katika Vyombo vya Habari vya Kiislamu Ndani ya Khilafah

23 Rajab 1443 H - 24 Februari 2022 M

Ni Khalifah Pekee Anayejibu Mahitaji ya Wanawake wa Kiislamu

7 Rajab 1443 H - 08 Februari  2022 M

  Uislamu ndio Wokovu Pekee kwa Watoto wa Tharparkar

Ikhlaq Jehan

25 Jumada al-Akhir 1443 H - 28 Januari 2022 M

Wanawake wa Kiislamu Nchini India Watolewa Ofa ya Kuuzwa na Mabaniani Wenye Misimamo Mikali Kama Sehemu ya Muendelezo wa Utesaji Waislamu Nchini Humo

9 Jumada II 1443 H - 12 Januari 2022 M

 

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu