Jumatatu, 28 Sha'aban 1444 | 2023/03/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Pakistan: Sarafu ya Kiislamu ya Dhahabu na Fedha Humaliza Mfumko wa Bei!


Mnamo 1540 M, mtawala wa Kiislamu, Sher Shah Suri, alichapisha Rupiya ya fedha, yenye uzani wa 178 Troy grains, ambao ni gramu 11.5.
1540 11.5 gramu za fedha = 1 Rupia
2010 11.5 gramu za fedha = 500 Rupia
2020 11.5 gramu za fedha = 1,000 Rupia
Ndani ya miaka kumi, kwa kuwa haitegemezwi tena na madini ya thamani, Rupia imeshuka thamani yake mara mbili, na kusababisha mfumko wa bei unaovunja mgongo.

Ili kumaliza mfumko wa bei, Khilafah itachapisha sarafu ya dhahabu na fedha, kama inavyo wajibishwa na Uislamu.

#KhilafahSilencesBlasphemy
Jumanne, 08 Dhul-Qa'adah 1443 H - 07 Juni 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu