Alhamisi, 24 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Kampeni ya Twitter “Msikiti wa Al-Aqsa unayaita Majeshi ya Pakistan

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa "Msikiti wa Al-Aqsa unayaita Manajeshi ya Pakistan!" ili kusisitiza ukweli wa kisheria kuhusiana na kadhia ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwamba ni ardhi ya Kiislamu inayokaliwa kwa mabavu na Mayahudi makafiri, na suluhisho pekee la kisheria aliloliamrisha Mwenyezi Mungu ni tangazo la jihad mpaka kila shubiri yake na sehemu nyenginezo za ardhi za Waislamu zinazokaliwa kimabavu. Kampeni hii itakamilika kwa dhoruba ya Twitter baada ya Maghrib siku ya Alhamisi 06 Aprili 2023 saa 22:30 kwa saa za Pakistan, Mwenyezi Mungu akipenda.

Ewe Mola turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa njia ya Utume... Allahumma Amin.

#AlAqsaCallsMuslimArmies

Alhamisi, 15 Ramadhan Al-Mubarak 1443 H - 06 Aprili 2023 M

Ili Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Iliyotolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan

“Enyi Majeshi ya Pakistan! Je, Hakuna Salahuddin miongoni Mwenu wa Kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa?”

Bonyeza Hapa

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu