- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Sweden:
Kisimamo “Mauaji dhidi ya Raia mjini Gaza hivi sasa! Simama kwa Heshima!”
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 17, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu 170,000 hadi sasa, na kufuatia kukiuka makubaliano duni ya usitishaji mapigano ya umbile la Kiyahudi mnamo siku ya Jumanne, 18/03/2025, na kuanza tena kwa mauaji ya kimpangilio ya Waislamu wasio na ulinzi, ambao wengi wao ni wanawake, watoto na wazee, Hizb ut Tahrir / Sweden iliandaa kisimamo katika robo ya Waislamu wa mji mkuu, Stockholm, chenye kichwa “Mauaji dhidi ya Raia mjini Gaza hivi sasa! Simama kwa Heshima!” Hotuba ilitolewa na ustadh Yusuf Ahmed.
Jumamosi, 22 Ramadhan 1446 H sawia na 22 Machi 2025 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Sweden:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden
Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden