Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Amali za Hizb ut Tahrir kwa Ajili ya Kuvunjwa Khilafah 1443 H – 2022 M
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Izmir.
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb kilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Aydin.
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Konya.
Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Hatay (Antakya).
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano mjini Mersin ndani ya mfumo wa kampeni ya "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Migogoro ya Kiuchumi katika Nukta 10", ambapo kulikuwa na ushiriki watu wa Mersin kwa sababu za mzozo wa sasa wa kiuchumi na suluhisho lake kuu.
Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Adana.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Elimu ya Umma cha Yorgir mjini Adana kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Kongamano hilo ambalo liliwasilishwa na UstadhFurkan Turamantkin,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa halaqa ya mjadala katika mji wa Kahraman Marsh kama sehemu ya kampeni yake kwa anwani "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", ambayo inawasilisha masuluhisho msingi ya Kiislamu kwa mgogoro wa sasa wa kiuchumi nchini Uturuki, kwa kuwasiliana na mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyama na vyombo vya habari vya ndani na kujibu maswali yao.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Merinos jijini Bursa lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni;