Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Mjadala kwa Mara ya Pili Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Ankara.

Katika mkutano huo ambao ulifunguliwa na Ndugu Kadir Kashikci, Ustadh Suleiman Ugreloa (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim) aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi".

Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni juu ya suluhisho lililopendekezwa kusikilizwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu wawili, Muhammed Hanafi Yaghmour (mtaalamu wa uchumi wa Kiislamu) na Abdullah Imamoglu (imamu na khatibu), walijibu maswali.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatano, 22 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 23 Februari 2022 M

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu