Kombe la Dunia la Qatar linaonyesha kwamba Ummah wa Kiisilamu uko katika bonde moja, Huku watawala wake wenye Kuhalalisha Mahusiano wako Bonde Jengine
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
“Mwanadiplomasia wa Kiyahudi alionyesha wasiwasi wake juu ya kukosekana uhalalishaji mahusiano na makubaliano ya amani, yaliyotiwa saini na umbile la Kiyahudi pamoja na baadhi ya watawala wa nchi za Kiarabu, na watu wa nchi hizo. Ilionekana wazi katika Kombe la Dunia nchini Qatar kwamba watu wanakataa uhalalisha mahusiano na mvamizi huyo.”