Erdogan Aendelea Kufurahia Uwepo wa Mayahudi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Balozi wa “Israel” jijini Ankara, Irit Lillian, aliwasilisha barua yake ya imani kwa Rais Erdogan. Akiregelea uwasilishaji wa barua ya imani kwa Erdogan kama "wakati wa kihemko", Lillian alisema kwamba anatarajia maendeleo mengi chanya kutokea katika uhusiano kati ya nchi hizo mbili.