Magharibi inawatakia nini Waislamu kupitia Thaqafa yake wa Kimagharibi?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
KUN.UZ na tovuti zingine za habari ziliripoti kwamba mnamo Novemba 14-16, Tashkent iliandaa “Kongamano la Pili la Ulimwengu la Malezi na Elimu ya Mtoto Wadogo (WCECCE).” Akizungumza katika kongamano hilo, Rais wa Uzbekistan, Shavkat Mirziyoyev, alipendekeza kupitisha azimio maalum la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu matokeo ya Kongamano hilo la Kiulimwengu, kuhusu umuhimu wa kuwasomesha watoto, kama jambo muhimu katika kufikia maendeleo ya wanadamu wote. Pia imependekezwa kuasisiwa kituo cha kikanda cha UNESCO huko Tashkent.