Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Sikukuu ya Idd ul-Adha Iliyo Barikiwa 1441 H
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pongezi za Dkt. Nazreen Nawaz
Pongezi za Dkt. Nazreen Nawaz
Pongezi Kutoka kwa Wabebaji Da'wah Kote Ulimwenguni kwa Idd ul-Adha Iliyo Barikiwa 1441 H
Idara ya Facebook imeufunga ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa mara ya nne bila ya sababu yoyote.
Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serbia yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.
Tahania kwa Wabebaji Ulinganizi kote Ulimwenguni kwa kuwasili kwa Idd ul-Fitr Iliyo Barikiwa 1441 H
Kitengo cha Wanawake Kampeni ya Ramadhan Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo
Tangazo la Beijing na Uingizaji wa Siasa Katika Masuala ya Wanawake
Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni nzito kupitia mitandao ya kijamii kwa kichwa, “#KhilafahHuwakingaWanawake.”
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia kimeandaa msururu wa matukio kwa anwani: