Umbile la Kiyahudi ni Dhaifu na Oga Ukimya wa Majeshi Yetu ndio Unalipa Nguvu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Idadi ya Waislamu wa Gaza waliokufa kutokana na mauaji, ukatili na mauaji ya halaiki yaliyofanywa na umbile la Kiyahudi linalokalia kwa mabavu huko Gaza katika muda wa siku 100 zilizopita tangu mafuriko ya Aqsa imezidi elfu 25.