Mithili ya Watawala wa Kiarabu, Watawala wa Kiajemi Wanaitelekeza Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 18 Januari 2024, mrengo vyombo vya habari wa Jeshi la Pakistan, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Nambari PR-18/2024-ISPR, lilisema, “Katika masaa ya mapema ya tarehe 18 Januari 2024, Pakistan ilifanya mashambulizi thabiti dhidi ya maficho ndani ya Iran yaliyotumiwa na magaidi waliohusika na mashambulizi ya hivi karibuni nchini Pakistan.