Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Ushindi Utapatikana tu kwa Kulitokomeza Umbile Vamizi la Kiyahudi Pekee na hivyo Kuikomboa Ardhi Hiyo
(Imetafsiriwa)

Habari:

Gazeti la ‘The Guardian’ liliripoti mnamo 24 Disemba 2023, “Kwa uchache watu 166 wameuwawa tangu Jumamosi, wizara ya afya katika eneo linalo endeshwa na Hamas ilisema, ikifikisha idadi ya waliouwawa hadi 20,424, ingawa maelfu zaidi wanaaminika kuzikwa chini ya vifusi. Wizara hiyo haitofautishi baina ya vifo vya raia na wanamgambo, lakini takriban 70% ya wale waliouwawa wanaaminika kuwa wanawake na Watoto.

Maoni:

Jumuia ya kimataifa ingali imetulia tuli ikitazama mauwaji yakifanywa dhidi ya watu wa Gaza. Inahesabu idadi ya mashahidi kwa maelfu, kana kwamba inafurahia hali hiyo. Watawala wa Waislamu wangali wako laini kwa dola ya Kiyahudi, huku ikiimaliza Gaza wakaazi wake. Askari wanyoofu katika majeshi wangali wana hamu ya kushambulia Mayahudi, lakini uongozi wao hauteteleki. Vyombo vya habari vingali vinaripoti jinai za Mayahudi mjini Gaza, kana kwamba ni mzozo ulio nchi ya mbali, nap engine katika sayari nyengine. Vinaripoti kana kwamba mzozo huu ni filamu ya kivita, ambayo mwisho wake wema utashinda uovu, kwa mshangao wa mabadiliko ya utunzi ya mwelekezi wa filamu!

Hebu watu na wasipuuze ukweli kwamba tunakabiliana na uhalisia mchungu hadharani, sio wa kubuni, wa kuigiza. Tofauti ya kiidadi na zana kati ya makundi mawili yanayopigana ni kubwa mno. Idadi zilizotajwa hapo juu za vifo zinatoa Ushahidi kiwango kisicholingana cha hasara kati ya pande hizo mbili. Ikiwa Umma wa Kiislamu hautahamasika na majeshi yake yote, au hata baadhi yao, kuwanusuru watu wake mjini Gaza, idadi hizi zitaongezeka pakubwa, ilhali yale yaliyofichwa ni makubwa zaidi.

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) aliwaadhibu Mayahudi waliokiuka mkataba wao katika Vita vya Khandaq, kwa kupitisha hukmu ya Saad bin Muadh juu yao. Yeye (saw) alimwambia Saad, «إنَّ هَؤُلَاءِ نَزَلُوا علَى حُكْمِكَ» “Watu hawa wamejisalimisha kwa hukmu yako” Kwa hivyo Saad akasema, فإني أحكم فيهم أن تُقتل مقاتلتهم، وتسبى ذراريهم، وتقسَّم أموالهم “Basi hakika hukmu yangu kwao ni wauwawe wapiganaji wao, kizazi chao kichukuliwe mateka, na mali yao igawanywe.” Kisha Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) akasema, «لَقَدْ حَكَمْتَ فِيهِمْ بِحُكْمِ اللَّهِ مِنْ فَوْقِ سَبْعِ سَمَاوَاتٍ» “Hakika umewahukumu kwa hukmu ya Mwenyezi Mungu aliye juu ya mbingu saba.”

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) aliamuru wachimbiwe mashimo katika soko la Madina. Kisha yeye (saw) akatuma waletwe na wakaletwa. Shingo zao zikakatwa ndani ya mashimo hayo, na wakatupwa humo. Wanaume waliouwawa walikuwa mia nne, takriban. Katika riwaya ya Ibn Ishaq katika Seerah, walikuwa wanaume mia saba.

Mwenyezi Mungu (swt) aliteremsha haya kuhusu wao,

[وَأَنْزَلَ الَّذِينَ ظَاهَرُوهُمْ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ مِنْ صَيَاصِيهِمْ وَقَذَفَ فِي قُلُوبِهِمُ الرُّعْبَ فَرِيقًا تَقْتُلُونَ وَتَأْسِرُونَ فَرِيقًا]

“Na akawateremsha wale walio wasaidia (maadui) katika Watu wa Kitabu kutoka katika ngome zao; na akatia khofu katika nyoyo zao. Baadhi yao mkawa mnawauwa, na wengine mnawateka.” [Surah Al-Ahzab 33:26]. Mayahudi walistahili adhabu hii, ingawa hawakushiriki vitani dhidi ya Waislamu. Badala yake, waliwaruhusu washirika kufika Madina kupitia sehemu yao. Hii ndiyo dori ambayo serikali zinazoizunguka Palestina, Misri, Jordan, Uturuki na Imarati, zinaicheza leo, kwa kuwasaidia Mayahudi. Sasa je, ni ipi adhabu kwa wale wanaowauwa Waislamu? Utukufu wad amu ya Muislamu ni kubwa zaidi kuliko utukufu wa Al-Kaab Tukufu. Ikiwa kumuua Muislamu mmoja ni jambo kubwa sana, kuliko kuuwa maelfu ya wahalifu wa Kiyahudi, vipi basi wakati maelfu yetu wanauwawa?!

Matokeo yoyote ya vita hivi ambayo hayapelekei katika kutabikisha hukmu iliyoidhinishwa na Wahyi, hayatachukuliwa kuwa ni ushindi. Hayatapoza nyoyo za waumini. Ukombozi hautapatikana  mikononi mwa makundi ya mujahidina mjini Gaza, licha ujasiri na ushujaa. Dori ya imefungika na kulizuia jeshi la adui, ilhali nusra wanayoihitaji sana ni lazima itoke kwa majeshi ya ulimwengu wa Kiislamu. Majeshi ndiyo yenye uwezo wa kulishinda kikamilifu umbile la Kiyahudi, kuwauwa wapiganaji wake, wale wanaotoa huduma na wale wa akiba, na kuwafukuza wao na wale walio nyuma yao.

Isipokuwa nusra hii ije, janga hilo litapanuka, siku baada ya siku. Dhambi la damu hii tukufu linaning’inia shingoni mwa maaisa wanyoofu katika majeshi, na sio tu  kwenye shingo za viongozi wa kisiasa na kijeshi katika ulimwengu wa Kiislamu. Hii ni kwa sababu viongozi hao washafanya uamuzi wao, na kujitolea kwa msimamo wao wa kuwasaidia Mayahudi dhidi ya Waislamu, licha ya dhambi la Abu Righal, Mwenyezi Mungu (swt) amwangamize.

Hivyo matumaini yanabakia yamewaambata wale wanyoofu, ambao hawakuwachukua mashetani kama washirika, kuwapindua viongozi hawa, na kuwabadilisha kwa kiongozi mwenye ikhlasi wa wale wanaofanya kazi kusimamisha Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume. Ni Khilafah ndio itakayo waongoza kupigana na kuwauwa Mayahudi, ambao Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) ametueleza kuwahusu.

Wanyoofu hawa ndio wale ambao lazima waharakishe na kurekebisha hali yao kabla ya kifo kuwakimbilia wao, huku watu wakiyarushia mawe makaburi yao, kama walivyolirushia mawe kaburi la Abu Righal, na kama watakavyo yarushia mawe makaburi ya viongozi wa sasa. Mwenyezi Mungu (swt) amesema,

[يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا خُذُوا حِذْرَكُمْ فَانْفِرُوا ثُبَاتٍ أَوِ انْفِرُوا جَمِيعًا]

“Enyi mlio amini! Chukueni hadhari yenu! Na mtoke kwa vikosi au tokeni nyote pamoja!” [Surah An-Nisaa 4:71].

Imeandikwa kwa Ajili ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir na
Bilal al-Muhajir – Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu