Jumatatu, 23 Shawwal 1443 | 2022/05/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uhakiki wa Habari 21/08/2021

Kwa kasi ya kushangaza, mujahidina wa Afghanistan waliifagia nchi hiyo na kulazimisha kuporomoka kwa serikali ya Kabul, huku rais wake akikimbia kimya kimya, ingawa, kulingana na Rais wa Amerika Joe Biden akizungumza mnamo Jumatatu, Waamerika walikuwa "wamelipa mafunzo imara na kulihami jeshi la Afghanistan la Wanajeshi 300,000 - wenye zana za kutosha – jeshi  kubwa zaidi kiidadi kuliko majeshi ya washirika wetu wengi wa NATO."

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 14/08/2021

Kwa mujibu wa na ripoti ya shirika la habari la Associated Press mnamo Ijumaa, katika mapigano ya kasi isiyo dhibitika kwenye ngome yao ya kusini mujahidina wa Afghanistan waliichukua miji mikuu mingine minne ya mikoa ikiwapa udhibiti wa nusu ya miji mikuu ya mikoa ya Afghanistan na theluthi mbili za nchi hiyo,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu