Hotuba ya Maandamano ya Hashem Gaza, Nyuma ya Matukio ya Al-Quds na Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa. Mashambulizi ya Kiyahudi dhidi ya Al-Aqsa Yayalazimu Majeshi ya Kiislamu Kutangaza Vita Kuling'oa Umbile Lao
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Enyi Waislamu: Je, haujafika wakati kwenu kuzinyenyekesha nyoyo zenu kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na yale yaliyoteremshwa kwa haki, na musonge katika kuinusuru Al-Aqsa, kabla ya kugawanya kwake kupitia wakati na nafasi kuwa kweli, kisha majuto hatamfaidi mtu?!