Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Podcast "Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Uchungu na Matumaini!"

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na kwa mnasaba huu Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za afisi kuu ya habari, silsila mpya ya video kutoka vipindi vya Al-Waqiah TV kwa anwani: "Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Uchungu na Matumaini!" Nayo ni ibara kutoka katika mikutano ya video kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Basi kuweni pamoja nasi ...

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

[ Halaqa ya Kwanza ]

- Je, Waislamu na Ulimwengu Walipoteza Nini kwa Kupotea Khilafah?! -

Mgeni wa Halaqa: Ustadh Ahmad Abdul Wahhab

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

[ Halaqa ya Pili ]

- Isimamisheni Enyi Waislamu! -

Mgeni wa Halaqa: Ustadh Muhammad Shariff

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

[ Halaqa ya Tatu ]

- Dori ya Wanachuoni! -

Mgeni wa Halaqa: Ustadh Munir Nasser

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumatano, 12 Rajab 1442 H sawia na 24 Februari 2021 M

[ Halaqa ya Nne ]

- Je, Sultan Yamaanisha Nini? -

Mgeni wa Halaqa: Sheikh Swaleh Na'saan

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Ijumaa, 14 Rajab 1442 H sawia na 26 Februari 2021 M

[ Halaqa ya Tano ]

- Nyinyi ni Umma Bora Uliotolewa kwa Watu... Na bado Mungali Hivyo! -

Mgeni wa Halaqa: Ustadh Jamal Hajj Ibrahim

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumapili, 16 Rajab 1442 H sawia na 28 Februari 2021 M

[ Halaqa ya Sita ]

- Dori ya Vijana katika Uislamu! -

Mgeni wa Halaqa: Sheikh Ahmad Abdul Jawad

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumatano, 19 Rajab 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

[ Halaqa ya Saba ]

- Hujma kali ya Kimagharibi dhidi ya Uislamu na Waislamu; Lengo Lake na Sababu Zake! -

Mgeni wa Halaqa: Sheikh Ahmad Abdul Jawad

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumamosi, 22 Rajab 1442 H sawia na 06 Machi 2021 M

[ Halaqa ya Nane ]

- Mpaka Wabadilishe Yaliyomo katika Nafsi Zao! -

Mgeni wa Halaqa: Mhandishi Muhammad Beik

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumatatu, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

[ Halaqa ya Tisa ]

- Je, Waislamu Wanaweza Kukabiliana na Magharibi Pindi Inaposimama Khilafah?! -

Mgeni wa Halaqa: Dkt Muhammad Hourani

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[ Halaqa ya Kumi ]

- Je! Kunayo Njia ya Umma Kutoka katika Uhalisia Huu Wanaoishi, na ni vipi?! -

Mgeni wa Halaqa: Ustadh Abdu Dilli

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu