Jumatano, 18 Rajab 1444 | 2023/02/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Silsila "Mapigo ya Umma katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na kwa mnasaba huu Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za afisi kuu ya habari, silsila mpya ya video kutoka vipindi vya Al-Waqiyah TV kwa anwani: "Mapigo ya Umma katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!" Nayo ni ibara kutoka katika mahojiano ya moja kwa moja na watoto wa Umma kutoka maeneo anuwai ulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Basi kuweni pamoja nasi ...

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano kutoka Mji wa Qilqiliyah / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumanne, 11 Rajab 1442 H sawia na 23 Februari 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

kutoka Gaza Tukufu / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumanne, 18 Rajab 1442 H sawia na 02 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka mji wa Tripoli Al-Sham / Wilayah ya Lebanon

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Banji / Malaysia (Sehemu 1)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumatatu, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Birmingham na Bolton / Jumuiya ya Waislamu Nchini Uingereza

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumanne, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Qalqilyah / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumatano 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Bangi Melaka / Malaysia (Sehemu 3)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumatano, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Kaskazini mwa Syria

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa London / Jumuiya ya Waislamu Nchini Uingereza

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Khartoum / Wilayah Sudan

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Alhamisi, 27 Rajab 1442 H sawia na 11 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Jumuiya ya Waislamu Nchini Denmark

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Alhamisi, 27 Rajab 1442 H sawia na 11 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Qalqilyah / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Khartoum / Wilayah Sudan (Sehemu 2)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Banji Melaka / Malaysia (Sehemu 2)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Khartoum / Wilayah ya Sudan (Sehemu 3)

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Maarat Al-Nouman / Wilayah ya Syria

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumapili, 01 Shaaban 1442 H sawia na 14 Machi 2021 M

[ Mapigo ya Umma ]

Mahojiano Pamoja na Watoto wa Umma wa Kiislamu

Kutoka Mji wa Rotchil Jumuiya ya Waislamu Nchini Uingereza

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Jumapili, 01 Shaaban 1442 H sawia na 14 Machi 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu