Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1443 H – 2022 M

Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Semina katika Mji wa Hatay iliolenga Kutafuta Suluhisho la Kiislamu la Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Hatay (Antakya).

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Semina katika mjini Adana iliolenga Kutafuta Suluhisho la Kiislamu la Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya mwendelezo wa mfululizo wa makongamano na semina zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi walikusanyika mjini Adana.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Halaqa ya Mjadala mjini Kahraman Marsh Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa kiuchumi

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa halaqa ya mjadala katika mji wa Kahraman Marsh kama sehemu ya kampeni yake kwa anwani "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", ambayo inawasilisha masuluhisho msingi ya Kiislamu kwa mgogoro wa sasa wa kiuchumi nchini Uturuki, kwa kuwasiliana na mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyama na vyombo vya habari vya ndani na kujibu maswali yao.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu