Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 07/02/2022
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ziliendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hii ili kujenga rai jumla yenye ufahamu kuhusu hukmu za Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na nidhamu tofauti tofauti za maisha.