Pongezi kutoka Hizb ut Tahrir kwa Mnasaba wa Idd Al-Adha Iliyobarikiwa ya Mwaka 1443 H
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, Muweza wa yote, Mwenye nguvu, Aliyetukuka, Mkuu.



