Tangazo la Matokeo ya Mwandamo wa Mwezi wa Ramadhan 1441H
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Habari muhimu
Habari muhimu
Miaka tisini na tisa ... Huu hapa mwaka mwingine umepita katika maisha yetu, na kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah imerudi kutuzuru tena,
Tangu Februari 24, 2020, mji mkuu wa India, Delhi, umekuwa ukishuhudia mauaji yanayotekelezwa na wanaoabudu ng’ombe dhidi ya Waislamu. Zaidi ya Waislamu 40 wameuawa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa.
Leo tunahitimisha kampeni ya habari ya kiulimwengu iliyozinduliwa na afisi kuu ya habari ya Hizb ut Tahrir kwa kuagizwa na Amiri wa Hizb ut Tahrir,
Mji huo ambao uliingia katika kumbukumbu siku ulipofunguliwa alfajiri mnamo 12 Jumada al-Awwal 857 H, ukurasa unaovutia katika historia ya Ummah wa Kiislamu.
Mnamo 10 Disemba 2019, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitoa hotuba ya kwanza kuhusiana na chama cha kimataifa cha Kiislamu cha kisiasa cha Hizb ut Tahrir.
Mnamo Ijumaa 29 Novemba, Facebook ilifunga kidhuluma ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, pasina na maelezo yoyote kuhusiana na hatua yao hiyo.
Gazeti la Al-Fajr liliripoti mnamo Jumamosi, 2/11/2019, kile ilichokiita kuwa janga; uwepo wa tovuti 10 kubwa duniani chini ya udhibiti wa Qatar na Uturuki.
Licha ya majaribio na njama zote zinazo fanywa na maadui wa Waislamu ili kuiondosha fikra ya Khilafah kutoka kwa akili za watu, fikra imekuwa ndio rai amma kwa Ummah wote Waislamu.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Al-Rahman Al-Rahim… Sifa njema zote ni kwa Allah na rehema na amani zimshukie mtukufu zaidi wa Mitume ya Mwenyezi Mungu, aliye tumilizwa kama rehma kwa walimwengu wote,