Chini ya kisingizio cha kupambana na COVID-19 kunafanywa bidaa mpya kwa Dini yetu
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Serikali kupitia baraza la dini mseto (Inter- Faith) imefungua misikiti kwa mikakati mikali.
Serikali kupitia baraza la dini mseto (Inter- Faith) imefungua misikiti kwa mikakati mikali.
Waziri wa Haki wa Sudan Nasruddin Abdel-Bari amefichua maelezo mapya kuhusu sheria ya mabadiliko tofauti tofauti, ambayo itachapishwa katika gazeti rasmi la serikali siku ya Jumapili 12/7/2020,
Kufuatia mkutano wa waandishi habari wa wawakilishi wa familia tatu za mahabusu: Omar Salum Bumbo, Ramadhan Moshi Kakoso, na Waziri Suleiman Mkaliaganda mnamo 09 Julai 2020 huko Magomeni Makuti, Dar es Salaam,
Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serb yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.
Mnamo 30 Juni 2020, shule moja ya kibinafsi jijini Lahore iliwafuta kazi waajiriwa waliotuhumiwa kwa kuwanyanyasa kimapenzi wanafunzi wengi wa kike.
Lengo lao ni kutia sumu mabongo ya vijana na wale wanaounga mkono mitindo hii isiyo ya kawaida kwa mtazamo wetu ni washirika wa upotovu huu.
Serikali ya Bajwa-Imran imewasilisha mswada katika Bunge la Kitaifa kurekebisha Sheria ya NEPRA ya 1997, kwamba NEPRA (Mamlaka ya Kitaifa ya Udhibiti wa Umeme) inaweza kutoza ada ya ziada kwa watumiaji umeme ipendapo.
Kutokana na ukweli kwamba wanaharakati watatu wa Hizb ut Tahrir / Tanzania (Ust. Ramadhan Moshi Kakoso, Wazir Suleiman Mkaliaganda na Omar Salum Bumbo) wanazuiliwa bila ya hukumiwa au ridhaa kwa zaidi ya miaka miwili, dhurufu zizo hizo pia zinawakumba wafungwa wengine miongoni mwa wanachuoni wa Kiislamu wa kundi la Uamsho ambao pia wanazuiliwa kwa zaidi ya miaka saba sasa, pamoja na wafungwa wengineo (Waislamu na wasiokuwa Waislamu) wakinyanyaswa katika hali hiyo hiyo, Hizb ut Tahrir / Tanzania ingependa kutangaza uzinduzi wa kampeni maalumu kutetea haki zao.
Kwa macho na nyoyo zilizojawa na machozi zilizo ridhia qadhaa ya Mwenyezi Mungu, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan inaomboleza msamaha kwa Sheikh (kwa idhini ya Mwenyezi Mungu):
Jioni ya tarehe 16 Juni 2020, karibu vikosi ishirini vya India viliuawa na Wachina, wakati wa taharuki ambazo zinatoa fursa nzuri ya kusimamisha tena Khilafah nchini Pakistan.