Jumapili, 27 Safar 1446 | 2024/09/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ni mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Wanawake “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” Lililoandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya

Mnamo Jumamosi 27 Oktoba 2018, Hizb ut Tahrir Wilayah ya Tunisia itakuwa mwenyeji wa kongamano muhimu la kimataifa la wanawake lililoandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa kichwa, “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” ili kutatua janga linaloathiri uwiano na umoja wa ndoa na familia katika jamii ulimwenguni, ikijumuisha ardhi za Waislamu. Tukio hili adhimu litawakusanya wanawake waliopendekezwa kutoka Tunisia na nchi nyinginezo, ambao ni viongozi mashuhuri katika jamii zao au walio na ujuzi kuhusiana na mada hii.

Soma zaidi...

Kampeni ya Kimataifa: “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” iliyo Zinduliwa na Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Mnamo 3 Oktoba, Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kilizindua kampeni muhimu ya kiulimwengu kwa anwani, “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” ambayo itamalizikia katika kongamano la kimataifa la wanawake mwishoni mwa Oktoba litakalo hudhuriwa na wazungumzaji kutoka pembe zote za dunia.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Canada imetumana ujumbe kwa Ubalozi wa Pakistan kutaka kuachiliwa kwa Dada Romana na Dada Roshan ndani ya Pakistan

Hizb ut Tahrir / Canada imetumana ujumbe rasmi kwa Ubalozi wa Pakistan ndani ya Toronto ukiomba kwa mamlaka za Pakistan kutimiza jukumu (Fard) lao la Kiislamu la kuwaachilia Dada Romana na Dada Roshan. Kama ilivyoelezewa katika taarifa kwa vyombo vya habari waliyokabidhi ubalozi ikiwa ni sehemu ya ziara hii, dada hawa walitekwa nyara na mamlaka za Pakistan na sehemu waliko haijulikani.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu