Waislamu: Waathiriwa/Wahanga wa Sera za Ubabe na Uchu wa Ukoloni wa Kimagharibi.
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya siku kumi na mbili za utekwaji wake, msomi maarufu wa Kiislamu na wakili, Profesa Hassan Nandwa, alipatikana akiwa hai majira ya saa saba usiku 09 Novemba 2021 katika msitu ulioko karibu na mji wa Mwingi.



