Jumanne, 24 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mayahudi Wamefichua Mzingiro wa Utawala wa Misri kwa Watu wa Gaza na Kuwa ni Mshirika katika Uhalifu wake Dhidi Yao!

Afrika Kusini ilifungua kesi dhidi ya umbile la Kiyahudi mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki, na umbile la Kiyahudi likajibu kwa kukana mashtaka hayo, likijua kuwa hata ikiwa litakiri na kuhukumiwa na Mahakama ya Kimataifa, hakuna mtu atakayeweza kulishambulia au kulitia hatiani.

Soma zaidi...

Umbile la Kiyahudi ni Kivuli cha Tawala za Kiarabu. Kitu Kinapotoweka, Kivuli Chake pia Hutoweka

Kama kawaida ya kila Ijumaa, mnamo Ijumaa tarehe 12/1/2024 Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi ya kuinusuru Gaza. Yalianza mbele ya Msikiti wa Al-Fatah kuelekea ukumbi wa michezo wa manispaa katika mji mkuu. Kauli mbiu ya Matembezi ya Ijumaa hii ilikuwa “Umbile la Kiyahudi ni Kivuli cha tawala za Kiarabu. Kitu Kinapotoweka, Kivuli Chake pia Hutoweka

Soma zaidi...

Sera ya Afya bila Afya

Wizara ya Afya imefichua kuwa Ksh.20 bilioni zimepotea kupitia mpango wa Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) kupitia madai fidia za kirongo na upasuaji ghushi, miongoni mwa shughuli nyingine za ulaghai zinazofanywa na vituo vya afya.

Soma zaidi...

Jumuiya ya Kimataifa Haijanyanyuka, na Haitanyanyuka! Kwa hivyo Jeshi la Kinana liko wapi Kuwanusuru Ndugu zetu, Bwana Waziri wa Mambo ya Nje?!

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, wakati wa mkutano na waandishi wa habari na mwenzake wa Ujerumani uliofanyika mnamo Jumanne, Januari 9, 2023, alisema: "Ikiwa mtoto mmoja amejeruhiwa, ilitarajiwa kwamba jumuiya ya kimataifa itakimbilia kuwanusuru na kuwalinda.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu