Viumbe Vioga zaidi vya Mwenyezi Mungu Vinaonyesha Ujasiri baada ya Mashujaa Kuzika Vichwa vyao kwenye Mchanga!
- Imepeperushwa katika Iraq
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Operesheni Kimbunga cha Aqsa “Tufan Al-Aqsa” kwa hakika imezifichua na kuzidhihirisha tawala za khiyana katika ardhi za Waislamu na watawala wao wasaliti. Vile vile imewasilisha hoja ya wazi kwa watu wenye nguvu na ushawishi katika Ummah, hususan majeshi yake, na hatimaye, imefichua uwongo na udanganyifu wa kile kinachoitwa “Mhimili wa Upinzani.”



