Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mauaji ya Kinyama ya Rafah Je, kuna ubinadamu wowote uliosalia duniani, achilia mbali katika Majeshi ya Waislamu?

Doha - Mei 27, 2024: Dola ya Qatar inalaani vikali shambulizi la bomu la 'Israel' ambalo lililenga kambi inayohifadhi watu waliokimbia makaazi yao huko Rafah katika Ukanda wa Gaza na kuacha makumi ya mashahidi na majeruhi; ikilizingatiwa kuwa ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa ambao utaongeza maradufu mzozo wa kibinadamu unaozidi kuwa mbaya katika Ukanda huo uliozingirwa.

Soma zaidi...

Nyuma ya Kongamano la Wanazuoni wa Dunia la 2024

Afisi ya Waziri katika Idara ya Waziri Mkuu (Mambo ya Kidini), kwa kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Kiislamu ya Malaysia (JAKIM) na Jumuiya ya Waislamu Ulimwenguni (MWL) kutoka Saudi Arabia, hivi karibuni iliandaa Kongamano la Viongozi wa Kidini Ulimwenguni la 2024 na Baraza la Wasomi wa Asia la 2024 jijini Kuala Lumpur.

Soma zaidi...

Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala Anataka Kuipeleka wapi Sudan?!

Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Mpito na Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, alisema kuwa vita vya Sudan bado viko katika hatua za awali. Al-Burhan, wakati akitoa salamu za rambirambi kwa mauaji ya afisa mmoja wa jeshi la Sudan, aliapa kuviandama Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na kuregesha haki za watu wa Sudan.

Soma zaidi...

Kufichua Uhalifu wa Wazayuni na Kupaza sauti ya Waislamu wanaodhulumiwa wa Palestina si ‘Uhalifu’ bali ni Wajibu wa Kiislamu wa Kila Muislamu!

Mnamo Novemba 2023, wabebaji Dawah wawili wa Hizb ut Tahrir walizuiliwa na maafisa wa ujasusi wa mkoa wa Nangarhar walipokuwa wakizungumza katika maandamano yaliyolenga kulaani mashambulizi ya kikatili ya umbile la Kizayuni huko Gaza.

Soma zaidi...

Mashujaa wa Utawala wa Misri Hawaelekezwi Dhidi ya Umbile la Kiyahudi Badala yake Unaendelea na Juhudi zake katika Kuzingira, Kunyima Chakula, na Kuua Watu wa Gaza!

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliitaka Misri mnamo siku ya Jumatano kufanya kila iwezalo kuhakikisha mtiririko wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Wakati huo huo, Cairo ilieleza kuwepo kwa chama cha Kipalestina katika kivuko cha Rafah ili kupokea msaada huo.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu