Sera za Kifedha za Kibepari hazina Maadili na Ubinadamu
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maandamano ya Kupinga Mswada wa Fedha nchini Kenya yameenea kutoka mji mkuu Nairobi hadi sehemu mbalimbali za nchi, huku walipa kodi wakiendelea kupinga mpango wa Rais William Ruto wa kufadhili Bajeti yake ya Ksh3.9 trilioni (dolari bilioni 31).



