Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Je! Uhalifu Uliopita Haukutosha Kukomesha Makubaliano ya Khiyana? Au Kukomeshwa kwake Kunahitaji Mauaji Makubwa Zaidi?

Operesheni "ndogo" ya kijeshi iliyofanywa na jeshi la umbile la Kiyahudi huko Rafah ya Palestina hivi karibuni ilifanya mazungumzo mapya juu ya hali ya Misri ya kuamiliana na mpango wa umbile la Kiyahudi endapo kutatokea "uvamizi kamili wa Rafah," kwa kuzingatia maonyo ya mara kwa mara ya Misri kuhusu "madhara ya uvamizi wa mji huo kwa Wapalestina,” na hakikisho kutoka kwa umbile la Kiyahudi la "kuendelea kwa operesheni hiyo."

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon Kikao “Waliohamishwa Ni Ndugu Zetu”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kikao kikubwa katika mji wa Tripoli Ash-Sham, kuanzia Msikiti Mkuu wa Al-Mansouri. Hii ilikuwa ni kueleza mshikamano wao pamoja na waliohamishwa na wakimbizi kutoka Syria, ambao walikimbia ukandamizaji wa utawala wa mhalifu Assad na kutafuta hifadhi kwa ndugu zao nchini Lebanon kutafuta usalama na makaazi hadi wapate fursa ya kuregea kwa heshima na usalama katika nchi yao ambako walilelewa na kukulia.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Musiitelekeze Rafah kama Mulivyoitelekeza Gaza!”

Matembezi ya 31 mfululizo, tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha Al-Aqsa, yalianza mbele ya Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis, ambayo yaliitishwa na Hizb ut-Tahrir/Wilayah Tunisia, kwa watu wa Al-Zaytouna, na kichwa chake kilikuwa“Musiitelekeze Rafah kama Mulivyoitelekeza Gaza!”

Soma zaidi...

Gaza ina Vifusi Vingi kuliko Ukraine, na Dada zetu na Watoto Wetu ndio Wengi wa Wafu Wanaozikwa Chini Yake

Shirika la Wanawake la UN lilitoa ripoti mnamo mwezi Aprili 2024, kuhusu hali ya wanawake na watoto mjini Gaza. Miezi sita ya vita hivyo, zaidi ya wanawake 10,000 wameuawa, kati yao kina mama wanaokadiriwa kufikia 6,000, na kuacha watoto 19,000 wakiwa yatima.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu