Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Enyi Majeshi ya Waislamu Je, Mnaiacha Gaza Pekee Yake katika Kukabiliana na Mayahudi na Makruseda?!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Enyi Majeshi ya Waislamu Je, Mnaiacha Gaza Pekee Yake katika Kukabiliana na Mayahudi na Makruseda?!” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu.

Soma zaidi...

[شَهْرُ ‌رَمَضَانَ الَّذِي أُنْزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِنَ الْهُدَى وَالْفُرْقَانِ] “Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi.” [Surah Al-B

Mwezi wa Furqan umekujieni. Unawajibisha kutofautisha baina ya haki na batili. Basi kuweni watiifu kwa Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume wake (saw), na jiepushe na ukafiri, makafiri, unafiki na wanafiki. Hakuna hukmu inayostahili kutawala isipokuwa ya Mwenyezi Mungu (swt).

Soma zaidi...

Serikali ya Jordan Haina tena Mahali pa Kuficha Utetezi Wake wa Umbile la Kiyahudi Kuweka Matendo katika Mizani ya Uislamu Inaongoza Dira Yako kwenye Suluhisho la Shariah

Habari na taarifa mara kwa mara katika vyombo vya habari rasmi na majukwaa ya mitandao ya kijamii, chaneli za satelaiti zilikuwa zimejaa mahojiano ya ndani na kimataifa kutoa maoni juu ya matukio yaliyofanyika katika kanda hii tangu vita vya Gaza.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu