Vita vya Uharibifu na Amani ya Fazaiko Ndio Urithi Mkuu wa Amerika nchini Afghanistan!
- Imepeperushwa katika Afghanistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 07/10/2001 M, Amerika, kinara wa ukafiri, na mshirika wake Uingereza walianzisha vita vya kinyama dhidi ya Waislamu, waliishambulia kwa mabomu miji ya Afghanistan ya: Kabul, Kandahar, Jalalabad na mengineyo na makombora ya Tomahawk, na kurusha makombora na aina anuwai za silaha.
Wilayah Syria: Pongezi kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubarak