Afisi Kuu ya Habari: Angazo Maalum "Naveed Butt... Je, Haijatosha Miaka Kumi ya Utekaji Nyara?!"
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 336
Mnamo tarehe 24 Aprili 2021, Jenerali Bajwa alikuwa na mazungumzo ya masaa saba na wanahabari, akifichua diplomasia ya mlango wa nyuma kati ya maafisa wa ujasusi wa Pakistan na India.
Mnamo siku ya Jumatano tarehe 17/03/2021, John Magufuli (61) aliyekuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam, na Mama Samia Suluhu Hassan (61) aliyekuwa Makamu wa Raisi aliapishwa kuwa Raisi mpya wa Tanzania Ijumaa ya tarehe 19/03/2021.
Vichwa Vikuu vya Toleo 335
Ihsan – kutafuta ukamilifu na ubora ni kiwango cha juu na hadhi kwa waja wema wa Mwenyezi (swt).
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Februari 2017 M.