Vichwa Vya Habari 24/07/2020
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pindi dola mpya inapoibuka ili kuipiku dola iliyopo, vurugu na mchuano haviepukiki — Hivyo ni muda tu kabla ya Amerika na China kupigana.
Pindi dola mpya inapoibuka ili kuipiku dola iliyopo, vurugu na mchuano haviepukiki — Hivyo ni muda tu kabla ya Amerika na China kupigana.
Shirika la fedha duniani limesema kuwa janga la Korona Litaugharimu uchumi wa dunia dolari trilioni 12 baada ya kupunguza ukuaji wake kwa kiwango kikubwa.
Tunajua kwamba Muhammad Al-Fatih – Mwenyezi Mungu awe radhi naye – pindi alipoifungua Konstantinopoli aliifanya Hagia Sophia kuwa msikiti… Tunajua pia kwamba Mustafa Kamal – laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake – aliiondoa sifa hii ya msikiti ya Hagia Sophia na kuifanya kuwa makavazi...
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iligawanya toleo la mapambano katika miji mingi ya Sudan kwa anwani "Marekebisho ya Bajeti Mwaka 2020 ni Kuendeleza Uharibifu katika uchumi wa Sudan kwa Kuutii Mfuko wa Fedha wa Kimataifa"
Wabunge kutoka pande zote za Bunge la Denmark jana Ijumaa, 14 Agosti 2020, walijibu amali zilizo fanywa na Hizb ut Tahrir katika mji wa Aarhus, kama sehemu ya kufichua sera ya ubaguzi wa rangi ya getto na kulinda kitambulisho cha Kiislamu.
Imarati na umbile la Kiyahudi zimekubaliana kuasisi mahusiano kamili ya kidiplomasia baina yao, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyo tolewa na Waziri Mkuu wa umbile la Kiyahudi Benjamin Netanyahu, Mfalme Mtarajiwa wa Abu Dhabi Mohammed bin Zayed Al Nahyan na Raisi wa Amerika Donald Trump.
Huku Waislamu wa Pakistan wakiukataa kwa hasira mpango unaonadiwa na Amerika kati ya Imarati na umbile la Kiyahudi la kusawazisha mahusiano kikamilifu, serikali ya Bajwa-Imran kwa uangalifu inajitolea njia ya kukamilisha khiyana,
Katika uzinduzi wa ripoti kuhusu wanawake wenye mamlaka, Kitengo cha Takwimu za Kitaifa nchini Kenya (KNBS) kiliwalinganisha wanawake walioko katika ndoa za mke mmoja, wake zaidi ya mmoja na wajane.
Serikali kupitia baraza la dini mseto (Inter- Faith) imefungua misikiti kwa mikakati mikali.
Mada: Je, Zaka ni ibada ya kipeke yake?