BATUK - Zana ya Kikoloni yenye Kulinda Maslahi na Ajenda ya Kikoloni
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumanne, 6 Aprili 2021, Mkuu wa Majeshi ya Uingereza Jenerali Bwana Nick Carter alizuru Kenya na kumtembelea Mkuu wa Majeshi Jenerali Robert Kibochi katika Makao Makuu ya Jeshi huko Nairobi.



