Enyi watu wa Nusra! Kama hamtatoa Nusra katika Kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume Hivi sasa, basi Lini Tena?!
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwenyezi Mungu ameteremsha Dini tukufu ya Uislamu kwa mwanadamu bora zaidi, Mtume Muhammad (saw). Yeye (swt) amesimamishia utawala kwake (saw) juu ya ardhi.