Je, Amerika Itabadilisha Sera ya Petro-Dolari?
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kushuka kwa mahitaji ya #mafuta kufuatia ongezeko la uzalishaji mafuta nchini Saudia na Urusi na vita vya bei kati ya nchi hizo mbili, vimeangusha bei ya pipa la mafuta katika soko la Texas Magharibi kuanguka chini ya dolari moja



