Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 287
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 287
Vichwa Vikuu vya Toleo 287
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia imeitaka idhaa ya Mosaïque FM haki ya kujibu taarifa za mwanahabari Ziyad Kreishan na ambaye amemtaja kila anaye tabanni fikra ya (halali na haramu) kuwa na msimamo mkali na hilo ni kupitia kipindi "Media Show" kwenye matangazo ya idhaa ya Mosaïque FM.
Mwanaadamu ni kiumbe, cha kibinafsi na pia ni kiumbe cha kijamii, kiasi cha kuwa balaa la kibinafsi na la kijamii humuathiri
Tuko katikati ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kama Waislamu, tunafahamu baraka na malipo yanayo ambatana na mwezi huu mtukufu.
Kwa mara ya pili wiki hii, Mamlaka ya Tunisia kimakusudi imeamua kuihusisha mahakama ya kijeshi katika kuishtaki Hizb ut Tahrir katika mashtaka mawili.
Michango ya mashababu wa Hizb ut Tahrir wakati wa Kongamano la Tatu – Dhidi ya Ufisadi lililokuwa kwa anwani “Ufisadi wa Kisiasa” lililo andaliwa na Baraza la Mahakama kuhusu Sheria, Haki na Usalama –Tunisia.
Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia: Kalima ya Ustadh Abdel Raouf Amiri Kuhusu Mashtaka ya Kijeshi ya Hizb ut Tahrir nchini Tunisia
Hukumu ya Mounir Amara, afisa wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Hizb ut Tahrir / Wilaya Pakistan ya andaa kampeni pana ya mtandaoni ya kutaka kuachiliwa huru kwa Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan.
Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu Swt Amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio la Kumbukumbu ya Hijiria ya Ukombozi wa Kostantinopoli #Kostantinopol...