Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 297
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 297
Vichwa Vikuu vya Toleo 297
Pongezi Kutoka kwa Wabebaji Da'wah Kote Ulimwenguni kwa Idd ul-Adha Iliyo Barikiwa 1441 H
Raisi wa Amerika Trump ametangaza kwamba amesambaza maelfu ya majeshi na vikosi vya usalama vilivyo jihami sawasawa ili kupambana na hali ya vurugu nchini.
Idara ya Facebook imeufunga ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa mara ya nne bila ya sababu yoyote.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu… Sifa Njema zote ni za Mwenyezi Mungu Mola wa Walimwengu,
Uislamu ni Ujumbe kwa wanaadamu wote. Unawalingania watu wote, bila kuzingatia rangi. Uislamu haukuja kwa jamii, kabila, au taifa moja, au kwa watu maalum wanaoishi katika zama au eneo maalum.
Ni takriban muongo mmoja sasa baada ya Raisi Obama kuanza kuligombania bara la Asia. Uhasama kati ya Amerika na China umefikia kileleni.
Kiulimwengu na kindani nchini Pakistan, ni wazi kuwa Urasilimali upo katika mgogoro mbaya sana. Hata kabla ya mripuko wa maradhi ya Korona (Covid 19), mdororo wa kiuchumi ulikuwa wazi. Kote ulimwenguni, huduma za dharura za afya ya ummah zilikuwa mbovu na kuchukuliwa kama ni sehemu ya kinga kwa mdororo huo.
Waamerika wamefungiwa katika majumba yao kwa kuogopea kirusi kipya ambacho kimeuwa zaidi ya Waamerika 100,000 mwaka huu, lakini kifo cha mwanamume mmoja pekee mnamo Mei 25 kimewatoa barabarani kufanya maandamano,
Akihutubia bunge la Ulaya Jumatano 27 Mei 2020, Rais wa Tume ya Ulaya Ursula Von der Leyen alipendekeza kwamba Muungano wa Ulaya uchukuwe deni la €750 Bilioni ilikupeana €500 Bilioni kama ruzuku na €250 Bilioni