Kuhusu Janga la Virusi vya Korona
- Imepeperushwa katika Ujerumani
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kuenea kwa janga la virusi vya Korona na matokeo yake yamedhihirisha mapengo makubwa katika mfumo wa Kirasilimali na nidhamu huru ya Kijamii.
Kuenea kwa janga la virusi vya Korona na matokeo yake yamedhihirisha mapengo makubwa katika mfumo wa Kirasilimali na nidhamu huru ya Kijamii.
Baada ya mataifa ya kikafiri kuungana dhidi ya Dola ya Khilafah na kuiondosha mwaka 1924 Miladi, na kugawanya ardhi za Waislamu katika vijinchi vidogo vidogo, Ummah umeathiriwa na tawala ambazo bila ya kuwa na mamlaka kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt)...
Janga la maambukizi ya virusi vya Korona ambalo limesambaa ulimwenguni halikuwa sababu ambayo kwayo sheria ya ulinzi ilitekelezwa...
Habari zimeripotia kushuka kwa ghafla kwa bei ya mafuta, hususan mafuta ya Texas, hadi ikafikia takriban dolari 30 chini ya sifuri.
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo Maalumu la Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Khilafah. Toleo 53 Ramadhan 1441 H - Mei 2020 M
Kuna baadhi ya Waislamu wanahoji kuwa kuurejesha tena mfumo wa Mwenyezi Mungu (swt), Khilafah kupitia njia ya Utume kuwa ni jambo lisilowezekana, kama wanavyodai kuwa mataifa yenye nguvu ya dunia kama Marekani, dola za Ulaya, Urusi, China na mengineyo yataungana kuivunja itakaporegea.
Vichwa Vikuu vya Toleo 288
Hotuba ya Dkt. Mohamed Ibrahim, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilaya Lebanon katika Maandamano, ambapo alialikwa na jamaa za wafungwa wa Kiislamu jijini Tripoli – Uwanja wa Nour.
Ama kuhusu kutoa pesa za kutosha kukabili milipuko kama hii, Uislamu umeuzidi sana Urasilimali, mfumo uliopo kwa sasa ulioundwa na mwanadamu ambao unatawala ulimwengu.
Katika munasaba wa Idd al-Adha 1440 H, Hizb ut Tahrir / Wilaya Lebanon iliandaa Matembezi ya Takbeer na Tahleel ambayo yalipita katika maeneo mbalimbali ya kaskazini mwa Lebanon.