Jumanne, 13 Muharram 1447 | 2025/07/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: #WaacheniHuruDadaZetu #MwacheniHuruDadaRomana #MwacheniHuruDktRoshan

Watawala waovu wa Pakistan wanaendelea kuwalazimisha vibaraka wa Amerika nchini Pakistan na kuwalazimisha juu ya shingo za Waislamu, hususan wanachama na wafuasi wa Hizb ut Tahrir, sasa imechukua hatua kakamavu zaidi katika mbinu zao ovu kuteka nyara wanawake!

Soma zaidi...

Utafutaji wa Shahada (Kifo katika Jihadi)

Pamoja na masomo juu ya zana za vita, mikakati na mbinu, utafutaji wa shahada ulitizamwa kama msingi wa fahamu za masomo, uelewaji na ujengaji wa nafsiyya. Utafutaji wa shahada ndio uliotia nishati majeshi ya Kiislamu katika vita, ukiwawezesha kufikia yale ambayo wengine walishindwa kuyafikia na wasingejaribu kuyafikia.

Soma zaidi...

Mama, Mke, na Mke Nyumbani: Malipo ya Utumwa wa Uzaaji Watoto! Hivi Ndivyo Namna Usekula Ulivyo Yafisidi Maisha ya Wanawake!

Nini maana ya mwanamke kuwa mama, mke na mke nyumbani kwa mujibu wa itikadi inayokataa maadili yote ya utu, akhlaqi, au ya kiroho kwa sababu inaona kuwa manufaa ndio kipimo cha vitendo na kwamba manufaa ndio mizani na kinacho pimwa? Itikadi hii huona kuwa wanadamu huthaminiwa kwa mujibu wa uzalishaji wao ndani ya mujtamaa na kwa kiwango cha mapato yao ya kimada!

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu